Unatumia simu gani?Ttcl, credit ipo. Nazimaje roaming?
Inaonyesha uwepo wa lain 2 yaan Ttcl & Airtel. Mkuu kwa kifup ni kwamba sms fup znaenda lkn ndef haziend na nmechek setting ya multiple sms akna shidaFanya hivi;
1. Bonyeza Sehemu ya 'Message' kwenye simu yako
2. Baada ya hapo bonyeza sehemu ya Menu upande wa kushoto wa simu yako
3. Itakuletea chaguo kadhaa, chagua Settings ya kwanza kwa juu
4. Ukishabonyeza Chagua 'Text Message (SMS)' ambayo ni ya pili
5. Ikifungua shuka chini kuna sehemu pameandikwa 'SMS Service Center'
6. Iangalie alafu niambie kuna namba zipi kisha tutaendelea
Mkuu, basi hapo hakuna shida.Inaonyesha uwepo wa lain 2 yaan Ttcl & Airtel. Mkuu kwa kifup ni kwamba sms fup znaenda lkn ndef haziend na nmechek setting ya multiple sms akna shida
Uko sahihi lkn hyo ya juu apo ni 3 kwa 1 lkn ndo ivo haiendMkuu, basi hapo hakuna shida.
Sms zote zikiwa ndefu hubadilika kutoka text message (SMS) kuwa Multimedia message (MMS) na hivyo kushindwa kwenda.
Kwa hiyo, andika kwa kiwango cha text tu na kisha utume. Au uigawe mara mbili.
Wasiliana na kituo cha Mtoa huduma kwa msaada zaidi.Uko sahihi lkn hyo ya juu apo ni 3 kwa 1 lkn ndo ivo haiend
Hakikisha una Vocha au kifurushi cha smsNashindwa kutuma meseji kama inavyoonekana apo chini, nini suluhisho lake?View attachment 1241720