Mafundi simu na IT mnahitajika hapa

Mafundi simu na IT mnahitajika hapa

Kampungapunga

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
313
Reaction score
1,100
Nahitaji mafundi simu wa ukweli na watu wa IT ili tutengeneze kifaa tutakachofunga kwenye simu kwa ndani ambacho hakitoonekana kirahisi, ili kuifanya simu ionekane mahali popote ilipo ili kudhibiti wizi wa simu.

Kifaa hiki tukishakifunga kwenye simu husika tutafanya namna ya kukiconect na simu nyingine kama mbili hivi ili mtu anapoibiwa basi atumie simu mojawapo kati ya hizo zilizounganishwa na kifaa hicho ili kuitrack mahali popote ilipo.

Hili ni wazo langu so tunaweza kusaidiana mawazo namna ya kufanya mana naamini tunaweza kufanya biashara sana ukizingatia watu wengi wanaibiwa simu na hawazipati kutokana na mlolongo mkubwa wa TCRA unaowafanya watu wakate tamaa na kuamua kununua simu nyingine.

Asanteni nasubiri mawazo yenu.
 
Ingekuwa Rahisi H8vyo Ni Raha Sana
Ila Naomba Nikukumbushe Tu Sheria Za Faragha Zote Zinakataza Hicho Unachotaka Kifanyike, So Kila Mtu Ana Haki Na Privacy Zake.

Asante
 
Back
Top Bottom