😂 😂 😂 😂 😂UPO PORI LIPI AISEE??
Hio roaming pia inaweza kuwa tatizo, ni line zote ama line hio tu?Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nikituma inakuwa kama inavyoonekana hapo chini.
View attachment 1240868
Jaribu kudownload 3rd party sms app uone kama tatizo litakuwepo. Mfano go sms ama textra, zipo playstore.Line zote