Ni software ipi inaweza kudownload movies in My Pc?

muneera75

Senior Member
Oct 12, 2019
190
500
Hey i hope mpo poa.
Eti ni apps zipi naweza kudownload movies kwenye laptop?

Thanks✌
 

Tony-stark

JF-Expert Member
Jul 20, 2019
1,022
2,000
Ngoja nikuelekeze bidada

Download app inaitwa bitcomet Kisha install,
Alafu Ingia website ya, yts.com
Tafuta movie unayotaka
Ukishaipata bofya download,
Ukisha bofya download utaona alama ya magnet bonyeza hapo
Alafu ile bitcomet itadaka
Nakuanza kushusha movie uliyochagua, tena kwenye hd,

Bando la usiku gb10 itakua Bora zaidi
Unachukua movie Kama kumi hivi,
Mpaka asubuhi zishajaa.
 

hometown

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
452
500
Ilo bando kwa lain gani mkuu
Ngoja nikuelekeze bidada

Download app inaitwa bitcomet Kisha install,
Alafu Ingia website ya, yts.com
Tafuta movie unayotaka
Ukishaipata bofya download,
Ukisha bofya download utaona alama ya magnet bonyeza hapo
Alafu ile bitcomet itadaka
Nakuanza kushusha movie uliyochagua, tena kwenye hd,

Bando la usiku gb10 itakua Bora zaidi
Unachukua movie Kama kumi hivi,
Mpaka asubuhi zishajaa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom