Nisaidieni kila nikiingia twiter katikati ya kuperuzi yanakuja haya maneno Are you a robot? Or I'm not a robot kama jinsi ya kuyaondoa yasijirudie

Kizinga mpemba

JF-Expert Member
Sep 23, 2018
218
194
Nisaidie jinsi ya kuyaondoa haya maneno ndani ya mabano. (Are you a robot) or (A'm not a robot )wakati naperuzi Tweter yasiwe yanajirudiarudia mara kwa mara.
 
Nisaidie jinsi ya kuyaondoa haya maneno ndani ya mabano. (Are you a robot) or (A'm not a robot )wakati naperuzi Tweter yasiwe yanajirudiarudia mara kwa mara.
Account yako ya Twitter imechezewa ko inakubidi uconfirm kwa kuweka password yako ili waamini kama ni wewe sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom