phoncechriss
Member
- Jan 13, 2019
- 53
- 84
Habarini Wakuu mimi sio mwandishi mzuri sana hapa JF ila naomba kupata maoni kutoka kwa Watanzania wenzangu juu ya hii namba ya kituo cha Dharura 911 Tanzania.
Nilishajaribu mara kadhaa kuipiga namba hii nikutanapo na dharura zinazohatarisha usalama wa raia na mali zao ila haijawahi kupokelea hvyo inabidi watu tulio eneo husika tujumuike kutatua tatizo bila vifaa vya kitaalamu wala utaratibu.
Naomba kujua kama kuna ambaye alishafanikiwa kupata msaada kupitia namba hii au kuna namba mbadala ya kuwafikia kitengo cha huduma ya dharura Polisi