Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari zenu wanajamvi, Nina website yangu hapa nimeunda http://sixters.wapvo.com Mnanishauri kipi nirekebishe au kipi nifanye katika website yangu? Ikague tovuti yangu kupitia link hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu naomba kupata mwangaza je hizi app kama WhatsApp, google FB nk, NI taasisi zilizo live na wana ofisi zao, je huwa wanajigharamiaje coz kwa mfano mimi nanunua vocha huku naunga MB zangu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Niende kwenye swali moja kwa moja. Naomba kuuliza wenye uzoefu wa ku-purchase PC games kutoka katika steam account HV ukishafanya mwamala wote ule wa kununua game, inakuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa bidhaa za Motorola watakuwa wanazikumbuka simu za Motorola zilizokuwa zinakwenda kwa jina la 'Razr'. Sasa habari njema jamaa wametambulisha simu yao mpya. Motorola Razr ijayo...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
Waungwana kuna uwezekano wa ku unlock iPhone yenye I cloud lock ? mwenye uelewa na hili swala naomba tusaidiane kupeana elimu asanteni.
0 Reactions
63 Replies
63K Views
Shikamoo wakubwa zangu Jamani samahani sana kwa usumbufu nilikuwa napiga window kwenye Pc ni Dell ila sasa ikifika pale kwenye kuinstall inahesabu hadi asilimia 35 hivi halafu inasema "window...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema Mimi ni mgeni katika hii industry nimeweza kujifunza HTML na CSS na mpk Sasa nimekuwa na uwezo wa kutengeneza webpage angalau kidogo shida yangu ni nahitaji...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habarini wadau. Sijui kama ni jukwaa sahihi au la, m Naombeni kufahamu aina tofauti za rangi zinazopakwa kwenye mabati ya nyumba na bid zake na kwa nyumba iliyotumia mabati 100 kupaua itatumia...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Habari za leo wadau, natumaini mko poa. Leo nataka nije na uzi unaoelezea kuhusu namna ya kujifunza programming kwa vitendo na kushiriki katika mashindano ya coding online ambapo pia unaweza...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakubwa..naomba kuuliza je ni vitu gani hupelekea fingerprint za iphone especially matoleo ya 6,6s,7,7plus n.k kufeli? wakati hilo halitokei au ni nadra kwa simu za android.. Naomba...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu kuna tatizo moja lipo hivi, ipo namba ya simu ambayo mara nyingi huwa nawasiliana nayo hasa katika mtandao wa WhatsApp na mpaka aanze yeye, au ananibip muda huo nikitaka kumpigia inasema...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale wanaotaka kujifunza coding ingia huku ujiunge bureee kabisaa Utajifunza kila kitu kuhusu computer, coding Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana JamiiForums nimeandika kitabu changu kidogo cha kama page 100 hivi, kutokana na kuwa na budget ndogo kama laki 7 hivi kuna mtu kanishauri kununua printer, paper cutter na stepla ili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nikiri nilinunua laptop mwaka 2010. Mara ya kwanza nikatumia ikafa betri. Nikanunua nyingine HP imekaa miaka kadhaa ikapunguza kukaa na chaji kabisa. Swali ni je ipi sahihi kuchaji laptop...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana jf Husika na kichwa cha uzi naomba ushauri, pia na bei yake na kwa mbeya ni duka gani wana bei nafuu? Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu, habari! Nina simu tajwa hapo juu, ambayo nimenunua kama mwezi hivi umepita. Shida kuu ni ku stuck/freeze mara kwa mara, zaidi sana nikiwa naandika sms.. na wakati mwingine kioo kinakuwa...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa na serikali ya Marekani kupitia taasisi yake ya viwango na teknolojia, NIST, mifumo ya utambuzi wa sura (facial recognition) inaweza kutoa matokeo yasiyo sahihi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
What are the con and auxi files in window operating system? Explain two ways to create and delete those files. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Habari zenu wakuu, Hivo nahitaji kujua kuhusu kipato cha mtandao huu mpya wa Taxify, hivo njia gaani wanayoitumia hii kampuni kupata mshiko wao maana nimefanya survey ya boda boda wengi maelezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bila shaka mu buheri wa afya. Kinyume na hapo ni mwili tu kupitia katika changamoto fulani fulani ili kujiimarisha. Simu yangu ina muda sasa, Play Store haitaki kudownload App yoyote. Yaani...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom