Electrician JF
Member
- Nov 28, 2019
- 5
- 133
Kwa anayefahamu kwanini meter ya maji inazunguka kama mota bila hata ya kufungua koki ya maji.
Nimefuatilia bomba hakuna leakage yeyote ya maji. Tatizo ni nini?
Nimefuatilia bomba hakuna leakage yeyote ya maji. Tatizo ni nini?