MzaramoTz
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 1,873
- 3,096
Heshima kwenu wakuu.
Naomba msaada wa app ambayo inaweza ku-sign PDF kwa kutumia simu wakuu. Nilikuwa natumia Adobe Auto Fill ila tatizo sijaona option ya kubadilika rangi iwe ya blue ionekane kama vile ni pen halisi ime-sign. Nikasema humu jamvini kunaweza kuwa na watu wanaotumia app ya aina hiyo naomba mnisaidie wakuu.
Natanguliza shukrani kwenu.