Ndio tatizoHapana!
Ahsante bro. Maana limtu hapa linakatisha tamaa,eti kisa limesoma computer.sijaijua hiyo App unayoitumia lakin kama ulikua unaitumia kwenye Android OS na ulii download fro play store, u can apply the same hata kwenye PC.
Nikama vile ambayo watu tunatumia watsap through PC.
wla huna haja ya kuwa na mafunzo ya computer
mfano Android Apps on Google Play
Duh, inawezakana alijua tabia yako ukishasaidiwa kidogo unatukana wengineAhsante bro. Maana limtu hapa linakatisha tamaa,eti kisa limesoma computer.
SawaNyie kama mmekuja kujuana humu msituhusishe na sisi Tusiojulikana,Umaarufu wenu hukohuko sijajiunga humu kutafuta watu wa kujuana nao.
Ulikuwa unatumia app ipi Kwenye android?Kwa watakaonielewa, huwa nina utaratibu nasave mapato na matumizi ya kila siku kwenye Hiyo App hapo juu ila huwa natumia simu.
Sasa nahitaji kuhamisha huo utaratibu kwenye computer yangu. Sijui hata pa kuanzia huwa natumia simu tu.
Itafute kwenye pc yako then utaipata, kama hamna niambie nikupe mbinu nyingine ya uhakika.Expense manager.
Haipo bro.naomba mbinu nyingine
Ahsante bro.ntajaribuKwenye pc,tafuta app inaitwa BLUESTACKS,fanya ku-download halafu install.Hiyo ni app ya GOOGLE kwamba unaweza kutumia apps za ANDROID Kwenye WINDOWS PC,ndani ya hiyo app kuna PLAYSTORE ambayo utaitumia ku-download apps na kuzi-install
Ahsante bro.ntajaribu