Maoni: Ubora na ufanisi kati ya S7 Edge vs Galaxy S9+

Maoni: Ubora na ufanisi kati ya S7 Edge vs Galaxy S9+

mimi43

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
407
Reaction score
429
Wakuu kwema,

Naomba kujua performance kati ya hivi vifaa viwili vya kielectronic kwa aliyewahi kutumia mojawapo kati ya hivo au vyote.

Nimeshatumia S7 Edge version ya USA verizon (Snapdragon 935v). Ipo vizuri, speed safi, charge inakaa.

Maoni yenu ni muhimu sana wanabodi wa gadgets kati ya Galaxy S7 Edge na S9+ Galaxy hasa hasa kwenye:

1. Speed ya simu
2. Battery hours
3. Camera

Shukrani.

kcamp

Chief-Mkwawa
 
Baba, Go for higher. S7 ni very otdated. Yamepita matoleo mengi hadi kufikia S9+. Obvious S9+ ni poa sana kuliko S7 for comon sanse

Na hata tukija kwenye technical aspects bado s9+ is better kwenye kila kitu.
 
Huitaji master degree kutambua kuwa S9+ itaperform vizuri kwenye aspects nyingi dhidi ya s7 simu ya mwaka 2016
 
shukrani sana wakuu maana ni s7 edge ila screen inaleta mstari wa pink nimepata wa kumforwardia na ghafla nimepata cheap s9+
 
hapana, bado sijichukua mzigo ila nimecheki iko android pie kwa sasa sikuwa na muda wa kucheki kama imepokea android x

ila nadhani itapata, kwa sababu nimeona s9+ ni moja wapo ya s series itakayopata android X
 
Mkuu sh ngapi iyo s9+ nikuunge mkono huko unakonunua.
 
N

Nilijua anafanya biashara na me nichukue moja. Kumbe ilikua moja tuu.
hapana ase ni yeye ndo aliniachii hii s7 edge saiv anataka kwenda iphone X kwa hiyo ananipasia hiyo s9+
 
Yaani anaacha S9 plus anaenda kwa iphone X? Hayuko serious huyo.
hapana ase ni yeye ndo aliniachii hii s7 edge saiv anataka kwenda iphone X kwa hiyo ananipasia hiyo s9+
 
Simu za Verizon ukija huku hazipati updates
unaweza fanya manuever ikapata update mimi ninayo s7 edge ilikuja na adroid 6 ila sasa ipo oreo 8 nili-update kwa pc odin
 
Back
Top Bottom