Msaada wa website ambayo nitaweza kutazama Tv za Tanzania live

muvika online

JF-Expert Member
Nov 27, 2016
375
283
Msaada wadau nahitaji mwenye kujua website (Sio App) ambayo ninaweza kustream vipindi vya Tv za Tanzania live maana nimetafuta tangu jana sijaweza kupata.
 
zipo google play ndugu kuna chanel 10 ,TBC, Star tv, na Azam apps.
tizama tena
 
Tofauti ya app na website Ni ndogo Sana kwa tv, Kama shida yako Ni url za hizo live TV tumia url snooper yoyote Kama packet capture extract url zake na uweke kwenye website yoyote unayotaka.
umenipata niniachotaka ila umeniacha njia panda unaweza nielekeza hatua kwa hatua maana ninachotaka sana sana ni RTMP kwaajili ya kuweka kwenye App yangu ila nikipata HLS au M3U8 bado ni sawa yaani hapa nilipo nimepata ya TBC tu
 
Back
Top Bottom