Jinsi Ya Kusolve Error 0002-0000 Kwenye Canon ImageRunner 2202

Jinsi Ya Kusolve Error 0002-0000 Kwenye Canon ImageRunner 2202

nyangemed

Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
85
Reaction score
66
Wakuu msaada tafadhali, Photocopier yangu aina ya Canon ImageRunner 2202 imeniletea Error 0002-0000. Tafadhali Mwenye kujua jinsi Ya kutatua tatizo hili anisaidie Tafadhali.

If Possible anaweza nicheki hata WhatsApp namba 0657841517
 
Wakuu Msaada Tafadhali, Photocopier Yangu Aina Ya Canon ImageRunner 2202 Imeniletea Error 0002-0000 Tafadhali Mwenye Kujua Jinsi Ya Kutatua Tatizo Hili Anisaidie Tafadhali.

If Possible Anaeza Nicheki Hata WhatsApp Namba 0657841517
anaye jua aweke hapa hapa majibu mambo ya kuchekiana WhatsApp ni ubinafsi
 
Wakuu msaada tafadhali, Photocopier yangu aina ya Canon ImageRunner 2202 imeniletea Error 0002-0000. Tafadhali Mwenye kujua jinsi Ya kutatua tatizo hili anisaidie Tafadhali.

If Possible anaweza nicheki hata WhatsApp namba 0657841517
Wakati mwingine google hizo error code kwenye mtandao maelezo yapo namna ya kutatua kabla haujamwita fundi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom