Natafuta mashine ya LG Nexus 5X

Natafuta mashine ya LG Nexus 5X

kidudula

Senior Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
130
Reaction score
108
Habari Wakuu, Natafuta mashine ya simu aina ya LG Nexus 5X, Iwe nzima au nauza kioo full cha hiyo simu pamoja na betri yake.

Nitashukuru iwapo nitapata. Mawasilaiano yangu ni kwa namba 0717540261.

30b83256bfb25c9b239670659227ad7a.jpg
 
nexus 5x ina tatizo la boot looping yan haiwaki ikafika mwisho na wakati mwingne haichaji kabisa.
imeshaflashiwa lakini haijasaidia chochote wla kureset haisaidii chochote.
fundi mweny uhakika wa kuitengeneza kwa maeneo ya dar pls anicheki 0620533017 bei tutaelewana tu maana naihitaji sana sina mawasiliano wiki ya tatu hii na sina mpango wa kununua simu kwa sasa..natanguliza shukrani zangu
 
Back
Top Bottom