Naombeni msaada FIFA 19 haichezi kwenye simu yangu wakati FIFA 18 inacheza

kazy

Senior Member
Sep 13, 2012
104
18
Habari wakuu,

Naombeni msaada nifanyeje recently nimedownload game la fifia 19 bahati mbaya linagoma kucheza linasema, ninapojaribu kustart inasema `display driver stopped responding and has recovered nvidia` kama shida itakuwa ni hardware mbona fifia 18 linacheza vizurio bila ya shida,

tafadhali naombeni mwongozol kwa anaejua
 
Una hio gpu ya Nvidia, una latest drivers?
 
Back
Top Bottom