Nawezaje kuingia kwenye remote server bila kutumia RDP

shalet

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
3,428
3,510
habari wataalamu,

Nina changamoto moja, kuna server ipo remotely nahitaji kulogini account ninayo ila wame disable remote connection hivyo siwezi tumia remote desktop ku connect ni window server 2012.

Msaada kuna files natakiwa kuzichukua mwenye uelewa anakaribishwa.
 
Back
Top Bottom