Tatizo la sauti kwenye PC

A.J

Senior Member
Jun 9, 2015
139
147
Habari zenu ndugu.

Naomba msaada wenu kuhusu ishu ya sauti kwenye Laptop yangu.

Kuna siku nilimuachia dogo laptop sasa akajaribu kuconnect sauti isikike kwenye Subwoofer, alipounganisha ikatoa sauti ila alipotoa zile nyaya za kuunganisha sauti kutoka kwenye PC kwenda kwenye Subwoofer ndio sauti ikaondoka mazima.
 
Nenda kwenye audio settings change sound source kutoka external kuja internal

Dumelang
 
  • Thanks
Reactions: A.J
Nimejaribu hiyo nimepeleka kwa fundi kafungua kila kitu anasema kiko poa. Nime install audio drivers tofaut tofaut lakin bado.
 
Back
Top Bottom