Wakuu wa Adsense hii imekaaje?

BLOGER10

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
268
169
Hii messege inachukua wiki mbili kweli au ndo mizinguo?

IMG_20200120_215533.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona zimepita wiki mbili naona kimya ndo nauliza wenye uzoefu na hii inakaa wiki mbili kweli??? Nais hujaelewa nilichouliza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeandika tu kuwa zimepita wiki mbili hujapata notification yoyote... Any way labda hukutimiza matwaka yao... Ila kuchelewa kawaida ila ukiona too much basi mchezo umeisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom