Jinsi ya kufanya Memory card kuwa Internal Storage

The dream

JF-Expert Member
May 10, 2015
999
994
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu.

Baadhi ya simu za Android zimekuwa zikija na Internal Memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (Memory Card) ili kuweza kuongeza space lakini kumekuwa na utofauti wa Internal Memory na SD card Memory.

Nikihitaji kuifanya memory labda yenye GB 64 kuwa Internal Memory kwenye Android device yenye ukubwa wa 16 GB itanipasa kufanya process gani wakuu?

Natanguliza shukrani.

Chief-Mkwawa
senetor
mikumiyetu
kali linux
 
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu.

Baadhi ya simu za android zimekua zikija na internal memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (memory card) ili kuweza kuongeza space lakini kumekua na utofauti wa internal memory na SD card memory.

Nikihitaji kuifanya memory labda yenye GB 64 kua internal memory kwenye android device yenye ukubwa wa 16 GB itanipasa kufanya process gani wakuu?

Natanguliza shukurani…

Chief-Mkwawa
senetor
mikumiyetu
kali linux
Inabidi simu iwe na android 6 kupanda

Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.

images

Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.

Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.
 
Unajua maana ya Internal na External?

Ni sawa na kusema unataka mtoto awe baba na baba awe mtoto. Labda ungesema unataka kumpa mtoto majukumu ya baba na baba majukumu ya mtoto ungekuwa sawa ila huwezi kufanya memory card iwe internal storage KAMWE!..
Clearly anataka kujua namna ya kuifanya memory card kuwa default storage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi simu iwe na android 6 kupanda

Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.

images

Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.

Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.
we jamaa huwa unajua sana, hongera sana kwa kutatua shida za wananzengo
 
Inabidi simu iwe na android 6 kupanda

Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.

images

Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.

Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.
Shukurani Sana kwa kutoa Elimu inayo eleweka vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Android kuanzia toleo la 6 (marshmallow) endapo utaweka SD card basi unapowasha simu unakuja ujumbe hiyo SD card iwe internal storage au removable storage (kwa baadhi ya simu) hii removable storage ndo external storage.. Ila kama simu matoleo ni lollipop kushuka chini basi kuna njia mbadala.. Pia kama umeroot cm yako basi ni rahisi sana pia.. Sasa hapa Inategemea na aina yako ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante chief
Memory ni A1 kama hii uliyodisplay na android version ya device ni 7.0

Nimejaribu kuingia kwenye storage hakuna option kama ulizotaja ila zipo hizi

Inabidi simu iwe na android 6 kupanda

Na pia ni vyema hio memory card iwe ni A series, hizi ndio zinakuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kuandika.

images

Unaenda setting then storage then adaptive storage na kuformat memory card kama internal.

Baadhi ya simu hazina hio menu hadi utumie adb commands.

IMG_20191225_081938_404.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi mkuu

Device ni infinix Note 4

Chief-Mkwawa

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Utatakiwa uwe na computer.

2. Simu yako iwe na developer mode na uweke debug mode on. Kama unaenda kwenye setting na huoni developer mode soma zaidi hapa.

3. Download minimal adb na fastboot kwenye computer.

Then fuata hizi commands kufanya memeory card kama internal.
Code:
adb shell 
sm list-disks // HERE YOU GET YOUR DISK ID, SOMETHING LIKE "disk:179,64" - REMEMBER THOSE NUMBERS 
sm set-force-adoptable true // 
IN NEXT LINE, SIMPLY PUT THOSE NUMBERS AFTER "disk:" AND ALSO AFTER WORD "mixed" TYPE PERCENTAGE OF SPACE LEFT AS EXTERNAL, SO IN MY CASE:
 sm partition disk:179,64 mixed 60 //
 IT TAKES TIME. BE PATIENT. WITH THIS LINE I TRANSFORMED WHOLE EXTERNAL SD INTO 40% OF INTERNAL AND 60% OF EXTERNAL 
sm set-force-adoptable false

Ama angalia hapa.

Alternative root simu kuna apps zinafanya hio kazi zenyewe.
 
Unajua maana ya Internal na External?

Acha ujuaji hata wenye simu wanasema hvo hata video youtube zimeandikwa hvo ..kufanya memory card as internal

Ni sawa na kusema unataka mtoto awe baba na baba awe mtoto. Labda ungesema unataka kumpa mtoto majukumu ya baba na baba majukumu ya mtoto ungekuwa sawa ila huwezi kufanya memory card iwe internal storage KAMWE!..
 
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu.

Baadhi ya simu za Android zimekuwa zikija na Internal Memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (Memory Card) ili kuweza kuongeza space lakini kumekuwa na utofauti wa Internal Memory na SD card Memory.

Nikihitaji kuifanya memory labda yenye GB 64 kuwa Internal Memory kwenye Android device yenye ukubwa wa 16 GB itanipasa kufanya process gani wakuu?

Natanguliza shukrani.

Chief-Mkwawa
senetor
mikumiyetu
kali linux

Inategemea na simu unayotumia...huku upande wa nokia android pie...ukiweka tu memory kuna set up itakuja unaeza set later ukiingia kwenye setting kisha storage utakuta memory ya simu na hiyo sd hapo kisha fungua hiyo memory bonyeza dots tatu juu kulia utaona sehemu pameandikwa storage setting utachagua kama uta format as internal.....
 
Back
Top Bottom