Habari zenu wataalam.
Nilikua naomba kuuliza kwa wenye uelewa hapa.
Nilikua natumia pc yangu nilichomeka kwenye socket ghafla nikashangaa adapta inafuka moshi na inatoa maji fulani hivi...
Heshima kwenu wakuu! Nina swali kidogo,
Endapo mtu anatumia subwoofer toleo la zamani kidogo kuna uwezekano wowote wa kuongeza bluetooth device na ikawa ina uwezo wa kuunganisha vyombo...
I am interested in attending conferences or symposiums where there is discussions on ICT research, opportunities, new solution seeking partners, or just a place conducive for techies to network...
Wakuu, habari ya wakati huu! Nimeapply formula ya Concatinate nikaweka semi colon kama alama ya kuseparate data ambazo zimekuwa combined.
Yaani =CONCA(A4,";"B4,";",C4,";",D4).
Nimefanikiwa ila...
Wakuu, naomba msaada ni njia gani naweza ku by pass hii simu inaitwa Nokia 1.
Nimepitia baadhi ya thread lakini naona bado hivyo naomba mwenye uelewa anisaidie ili niweze kutatua tatizo.
Wakuu kwa yeyote mwenye ufahamu nina laptop yangu 'mpya dell inachanganya keys zake (baadhi) mfano nikipress "y'myenyewe inaandika "z" nikipress "z" inaandika "y" halafu kwenye zile symbol sasa...
Wakuu wakati tunachangia, nimekutana na mchangiaji kakataa kuwa hajawahi kutumia hayo maneno ambayo yamo humuhumu JF kwenye jukwaa lingine na mwaka jana lakini Heading naiona na amechangia No. 121...
Wadau, heshima kwenu!
Kwa muda mrefu, nilikuwa nimeacha kuitumia app ya Mobdro, kuangalia mipira ya ligi mbalimbali.
Majuzi, nikaikumbuka, nikaamua kuifungua. Nikakutana na chaneli ambazo...
Habari zenu wakuu nahitaji kuirestore Galaxy Grand Prime+ ila sijaona pa kuanzia wala kumalizia msaada wenu tafadhalini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumai mu wazima wakuu na wikiendi.
Wakuu, ndugu yangu ana simu aina ya Tecno Spark K7. Shida yangu ni kwamba kwa muda mrefu hii some imekuwa utumiaji wake unakuwa too slow yaani unabonyeza app...
Habari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products.
Platform ya web yangu nilotumia ni...
Kampuni ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasioasilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu katika maeneo mbalimbali ya miili yao kama sura...
Salaam wakuu
Msaada wa file au link ya unlocked firmware ya oxe begin 101 (simu za halotel) hizi,,zilizopo google rar zake wame zi encrypt
Au kama kuna njia nyingine ya kunlock network bila box...
Wakuu habari zenu natumai wote mkosalama,
Samahani wakuu Nina simu aina ya Tecno W5 kamera yake ya mbele inazingua inaweka ukungu haionyeshi vizur picha sasa nilikua naulizia kua kuna uwezekano...
Wakuu habar , Mimi Nina simu niliagizaga nje , sasa hii simu imekufa battery now , na battery zake ni zile non removable ... Ukiangalia gharama ya kuagiza battery ni expensive kuliko kununua simu...
wakuu
nimenunua simu nokia 1 mkoani. Sasa nimekuja kufanya factory reset then kuweka email yangu ikanambia "this phone was reset..enter the previous email"
sasa email hiyo iliyokuwa inatumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.