khaliciouz
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 579
- 210
Wakuu habari,
Nauliza ni jinsi gani whatsapp inajiingizia pesa naona hawatumii matangazo kabisa, ingawa unaweza uka upgrade kwa 1 usd kwa mwaka kama wakilipia watu mil 100, jumla wanapata usd 100 mil.
lakini kwa kiasi kikubwa watu hawa upgrade.
Vipi pia kuhusu Instagram wanapataje faida wakati hakuna hata tangazo ?