Hivi kwanini OS inayokuja pre-installed kwenye PC uwa iko smooth?

Nafaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
12,350
Reaction score
31,873
Mara nyingi huwa nikinunua laptop mpya hasa online ikaja na Windows huwa inakuwa ina perform fast na smooth ila ikitokea nikapiga Windows chini basi huwa nina note kuwa nilicho install kinaifanya PC isiperform kama awali.

Mfano nimenunua PC aina ya Dell 11 Pro 7000 series 7140 ina Windows 10, naona iko smooth sema nilikuwa nataka kuiupgrade storage sasa nawaza nikitoa HDD iliyomo nikaweka nyingine itabidi niipige Windows.

Hivi hakuna jinsi naweza clone HDD yaani ile naifunga na kuwasha tu?
 
Shida ni kwamba unaweka os visivyo,
Pili unaweka hdd bila kuangalia tofauti ya speed ya hizo hdd.

Unaforce partition zaidi ya mbili na wakati hdd yako imasupport MBR.

Yapo mengi ya kuzingatia unapo fanya window installation.
 
Sijawahi kufanya partitions zaid ya mbili toka niazne miliki PC 2009, Kuweka OS ambavyo sivyo inaweza kuwa kweli au hapana maana I think nina ujuzi wa kutosha wa kuinstall windows na kutrouble shoot.
Sijawahi kubadiri HDD ya laptop hii ndiyo ya kwanza ninayotaka kubadili
 
Basi hongera.
NB
Huo nI utafiti wako
 
Inawezekana pre installed OS ina all the specific drivers, na unayo install wewe haina specific drivers ina generic drivers zinazo impact performance.

Uki install OS, angalia kama drivers zako ni specific kwa hardware zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma namba ya toleo la window iliyopo kwanza before ujabadili na utafute toleo hilo hilo maybe unaweza pata same result after installation

Sent using tofali la kuchoma
 
Back
Top Bottom