Kufanya shopping Ali express

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Apr 30, 2018
2,022
2,589
Wakuu umofia kwenu!

Nilikuwa najaribu kwa mara ya kwanza kununua bidhaa ali express kwa kutumia m pesa master card lakini nafeli.

Nikiweka card namba na tarehe ya kujaza naambiwa "we dont accept this kind of card try another.
Tatizo ni nini naombeni msaada?Naambatanisha na screenshot.
Mwl.RCT CHIEF MKWAWA Njunwa wa mavoko

20200120_221129.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuweza kutumia card yako fika bank husika kwa msaada zaidi kuna mahali utakuwa unakosea kidogo
Wakuu umofia kwenu!

Nilikuwa najaribu kwa mara ya kwanza kununua bidhaa ali express kwa kutumia m pesa master card lakini nafeli.

Nikiweka card namba na tarehe ya kujaza naambiwa "we dont accept this kind of card try another.
Tatizo ni nini naombeni msaada?Naambatanisha na screenshot.
Mwl.RCT CHIEF MKWAWA Njunwa wa mavoko

View attachment 1328927

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Mkuu.. kwanza attachment haionekani..
Pili, line yako imesajiliwa kwa finger print!??
Tatu, una salio la kutosha!??
Nne, card yako umetengeneza lini!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M pesa wana visual/electronic master card hata mm nimejaribu sana tu. Ila nimeweka card ya bank plastic card ikakubali .jaribu plastic card

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom