Mashine ya EFD imegoma kutoa risiti

Mashine ya EFD imegoma kutoa risiti

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,020
Reaction score
1,057
Habari ndugu zangu,

Nina machine ya EFD incotex133 amekuja mteja nikataka kumtolea risiti nimefanya transaction zote lakini haitoi risiti nimejaribu mara mbili lakini imegoma.

Sasa itakuwa tatizo ni nini maana naogopa kujaribu mara nyingi nikajiwekea pesa nyingi.
 
Weka kwenye fridge kwa nusu saa kisha itoe endelea na kazi. Itakuwa imechemka.
 
Habari ndugu zangu,

Nina machine ya EFD incotex133 amekuja mteja nikataka kumtolea risiti nimefanya transaction zote lakini haitoi risiti nimejaribu mara mbili lakini imegoma.

Sasa itakuwa tatizo ni nini maana naogopa kujaribu mara nyingi nikajiwekea pesa nyingi.
Nenda kwa wakala alikuuzia
 
Achana nayo au ww unaona raaaha kuibonyeza bonyeza?

Kodi kodi kodi halafu zina finance uhalifi dhidi ya ubinadamu mxiewwww
 
Jaribu kutoa roller iweke vizuri utakua umeibana vibaya labda...
 
Au ukitoa risiti hairespond kwa chchte? hamna mlio hata wa printer kwa mbali?? kama kuna mlio unausikia ila risiti haitoki tatzo litakua kwenye uwekaji wa hiyo roller..Jaribu kuitoa then irudshie..ikigoma kimbia tu fire pale kona ya k.koo wakaicheki.
 
Achana nayo au ww unaona raaaha kuibonyeza bonyeza?

Kodi kodi kodi halafu zina finance uhalifi dhidi ya ubinadamu mxiewwww
Muache bwana,si ndo anaipenda nchi yake..acha alipie Wengine vyuma havijakaza mkuuu..ila mimi risiti sikutolei walai ukitaka chukua hela ako sepa.
 
Hivi navoandika hapa tra wanafunga maduka hapa maeneo ya soko kuu. Kisa efd's. Pamoja na kulipa kodi zote unafungiwa biashara kwa kutokuwa na efd.. Hiyo mashine ya efd haina uwezo wa kufanya kazi mwaka mzima bila kuharibika .ni kwa nini waziri wa fedha hataki kusikiliza kilio hiki cha wafanyabiashara? Kwani wafanyabiashara tumeikosea nini serikali?
 
Wakati unatoa risit jaribu kuisapot kwa kuivuta kwa mkono risit ....opc za mashine zimeisha au mota imejaa kabon ndani

Hivyo inakosa nguvu ya kuzungusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom