The Listener
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 993
- 217
Mimi ni mteja wa AZAM TV sasa ni mwezi wa pili. Sina uhakika kama tatizo ninalolipata linawapata wateja wengine wa AZAM TV.
Suala ni kwamba mvua ikinyesha kidogo tu basi ianakatakata na wakati mwingine haionyeshi kabisa. decoder inakuwa inablink (sehemu ya kijani).
Wasiwasi wangu ni kuwa kama hili ni tatizo basi wakati wa masika itakuwa shida.
I hope jamaa wa AZAM wanalitazama hili kwa jicho la kipekee kabisa kwani nadhani pia wananchi wengi wameipokea kampuni hii kama mkombozi hasa katika gharama
This is my observation