Simu yangu haipokei SMS na pia mtu akinipigia inamwambia nipo busy japo sipo busy, msaada tafadhali

nyanimzungu

JF-Expert Member
Mar 4, 2017
1,209
2,000
Iweke kwenye brenda then isage.ikishindikana ujue inamgomo baridi wa kutokujazwa vocha muda mrefu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,471
2,000
hapo theory ya haraka haraka umebadili default application ya hivyo vitu, mfano ukibadili default application ya sms toka app ya messaging inayokuja na simu hadi app ya hangout, halafu baada ya muda hujaiupdate app ya hangout then hutapokea sms, sababu app husika ya kupokea sms ipo out of date, same inaweza kutokea kwa simu.

kwa kuanzia nenda kwenye app ya message halafu nenda menu ya message kisha chagua settings halafu change default setting ya msg iwe ni app ya kawaida ya messaging na sio app nyengine. same kwenye simu ni hivyo hivyo.

alternative nenda playstore search app inaitwa default app manager lite, kisha idownload halafu uifungue itakuonesha app gani zinatumika kwenye sms na call
 
Zingzingzing

JF-Expert Member
May 13, 2014
393
250

Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,499
2,000

Attachments

  • Screenshot_20170622-174700.png
    File size
    401.6 KB
    Views
    46

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,201
2,000
ndugu fanya kitu kimoja click *#*#46376#*#* zitatokea option ukifika step hiyo njoo pm na screenshot
 
MR KUO

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
1,514
2,000
hapo theory ya haraka haraka umebadili default application ya hivyo vitu, mfano ukibadili default application ya sms toka app ya messaging inayokuja na simu hadi app ya hangout, halafu baada ya muda hujaiupdate app ya hangout then hutapokea sms, sababu app husika ya kupokea sms ipo out of date, same inaweza kutokea kwa simu.

kwa kuanzia nenda kwenye app ya message halafu nenda menu ya message kisha chagua settings halafu change default setting ya msg iwe ni app ya kawaida ya messaging na sio app nyengine. same kwenye simu ni hivyo hivyo.

alternative nenda playstore search app inaitwa default app manager lite, kisha idownload halafu uifungue itakuonesha app gani zinatumika kwenye sms na call
Hapa vipi mkuu na Mimi Nina tatizo Kama Hilo la simu kutopokea sms kabisa
Screenshot_20200126-072357~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom