Msaada kuhusu Whatassap.

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,373
54,754
Nimekuwa offline toka mwezi June kwenye Akaunti yangu ya Whatassap ila leo nataka Kurudisha Akaunti yangu tena, Je zile Sms nilizotumiwa tangu nikiwa Offline nitazipata?.

Nashukuru.
 
Kama ulikuwa haufanyi backup basi utazipata mpya tu. Ila aisee....toka june?? Mkuu ulipatwa na nini ?
 
WhatsApp wanahifadhi msg ulizotumiwa lakini haujazipata hadi siku 30 so utapats msg za siku 30 zilizopita tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom