Ushauri Tafadhali Kwa Aliyewahi Kutumia Hiki Kifaa.

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
1,505
Reaction score
649
Mimi wakati wa kuseti dishi huwa natumia receiver lakini kuna hako kakifaa nimepata sijui kama katanisaidia maana sijawahi kukatumia. Hivyo naomba aliyewahi kukatumia anisaidie kujua kama katakuwa msaada kwa kazi hiyo au ni stress tu.
Model yake ni GSF-9502
IMG_20190715_175220.jpeg
 
Test tu utaelewe,Unachomeka tu waya kwenye kile kichwa kiachokaa kwenye dishi na waya mwingine kwenye dikoda then unazungusha tu mpaka uisome.Utundu utundu tu ilani fasta
 
Kabla ya kupost hii thread nilijaribu kukaunganisha kwenye dish nikaselect nikaweka channel ya Vertical ambayo haina signal kakawasha taa ya kijani na nilipoweka yenye Horizontal isiyo na signal kijani na nyekundu zikawaka zote. Nikajaribu channel ambayo ina signal hizo taa zote hazikuwaka na wakati huohuo nilitegemea ule mshale ugekuwa unamove kwa kuongezeka au kupungua kama ishara ya uwepo wa signal lakini limshale liko pale pale na limlio lake. Ila nitaendelea kukastadi nione matokeo.
 
Satelite finder. Sijawahi kuitumia . Rafiki yangu aliniambia inakusaidia kupata Satelite kwa kuangalia Strong signal kutoka kwenye dish kwa kuangalia mshale hapo. Inasaidia kuseti dish ukiwa mbali na TV kama vile juu ya bati bila kusumbuka.
Mimi wakati wa kuseti dishi huwa natumia receiver lakini kuna hako kakifaa nimepata sijui kama katanisaidia maana sijawahi kukatumia. Hivyo naomba aliyewahi kukatumia anisaidie kujua kama katakuwa msaada kwa kazi hiyo au ni stress tu.
Model yake ni GSF-9502View attachment 1154233
 
Ahsanteni kwa reply nitaendelea kukastadi nilete mrejesho, haka kadude nilikanunua AliExpress baada ya kuona zile za picha bei ni mkasi nikaamua kununua hako ila nitaendelea kung'ang'ana nako kakizingua nafanya toy.

Nitatumia hii tutorial maana kidogo naona kama itanisaidia.
 
hii me mwenyewe nimeielewa simple very simple.
 
Kana namba 0-10 kama sikosei.
Unachotakiwa kufanya ni kuunganisha nyaya zake kisha hapo kwenye hiyo finder unaset kwenye namba tano. Ukizungusha dish kwenda uelekeo/satellite uliyoweka kwenye decoder, kadiri unavyokaribia signal sauti inaongezeka na mshale unapanda, iwapo itafika kumi angali kwenye dish bado signal iko chini, unarudisha yena namba tano unarudia kama mwanzo mpaka utakapopata quality uitakayo.
 
Nimeshakajulia sana ila kwenye channel za continental kanazingua usipokuwa makini utakesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom