Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Natafuta fundi wa Invetor Pure sine wave, Ina Tatizo dogo la Umeme Hautulii na display yake ina blink wakati relay nayo inakuwa ina funga na kufungua hivyo kunakuwa na On and Off in multiple...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kama tangazo linavyosema nahitaji simu hiyo hapo juu. Hii simu yangu haina tatizo lolote ni yangu nina kila kitu chake hadi stakabadhi niliponunulia utapata. kwanini A9 pro 2016 hii simu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
hizi ni moja ya torrent hata uki google kizipata kwake sio kirahisi na hata ukizipata zingine zipo locked huwezi ingia mpka invitation upate mfano 1. na ukienda hapo register itakupa ivi 2. leo...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Nikiwa kama muhasibu excel 2007 nimeizoea na wala sijaona ikinikwamisha kwa lolote, Ina size ndogo na haijazi pc na inanifaa, Kuna wenzangu hapa ofisini mbwembwe ibao na excelo hizi za mwaka 2018...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama tujuavyo kuna windows mbalimbali kwa matumizi tofautitofauti, sasa nataka kujua ni window gani nzuri zaidi maana PC yangu ina window 8.1 lakini kuna baadhi ya software hazifanyi kazi mfano...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na mapambano ya Corona tumwombe mola atatusaidia. Niende kwenye mada ni wiki mbili zimepita tangu niibiwe simu yangu na vibaka sikutaka kuifuatilia kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada kwa yoyote anaeweza kunuelekeza kutumia Gani kuunganisha vitu mbali mbali anipe ujuzi Asanteni
1 Reactions
4 Replies
3K Views
jaman mimi nina itaj msaada,nmemalza 4m4 mwaka jana na nina bios-C,chem-C,math-D,english-B.naitaj kusoma clinical officer.je application zna anza lini,ada ni shingap kwa government,na naomba kujua...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Habari wakuu? Msaada wenu nimepewa Mac ambayo haijatumika muda mrefu kidg ukiwasha kinakuja kialama cha question mark. Sasa katika kuchokonoa na kiufahamu changu kidogo nimefika eneo la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu msaada, simu yangu Tecno Camon 12 iliingiliwa na maji ya mvua pindi ikiwa mfukoni. Niliitoa nakuendelea kuitumia (hapa sikujua kama maji yameeingia). Baada ya muda screen ilianzaa kuonyesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zikiishaanza kusumbua utakoma. Je, tiba yake ni ipi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu. Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu laptop yangu Hp EliteBook imegoma kuwaka nikibonyeza power button. Lakini nikitoa betri nakurudisha inawaka kidogo halafu inazima. Msaada wenu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanazengo, Nina mashaka na mke wangu amedekuwa simu yangu especially voice call naomba msaada namna ya kujiondoa kwenye hiyo kadhia. Maana nikiwasiliana na watu ananiambia...
0 Reactions
89 Replies
18K Views
Habari? Wakuu ninahitaji kujuzwa wastani wa gharama kutengenezewa website kwa ajili ya kuuza muziki (downloads and stream), kama walivyo boomplay, spotify n.k na ziada ya feature ambayo kutakuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kwa wale wanao tengeneza free app. Wanapo zituma kama vile YouTube au katika website nyingine huwa wanalipia katika hizo site? Na kama wanalipia wawo hupataje kipato kwa kaziyao...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu waungwana, Natumia umeme wa solar una betri la 12V 33Ah nimefunga pamoja na controller na panel ya Watt 40 Taa zinawaka bila shida Kuchaji simu chaja naweka direct kwenye betri...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Jamani habari za muda huu ndugu zangu: -Jamani naombeni maelekezo namna ya kutengeneza youtube channel inayoingiza pesa. -Halafu je, kuna uwezekano wa kutengeneza you tube channel kwa kutumia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Niaje developers. Naomba mawazo nyenu kuhusiana na php framework ip ni nzur na popular developer weng wanatumia. Nimejaribu frameworks kama codeighter, cakephp na zend bado naona chenga za mchele...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi! Does any one here knows what is the list of software that makes JF live and running? Just like other sites...they all have specific technical tools and codes for making it online and...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…