Msaada Display ya Tecno Camon 12 ina blink lines na Blue Display

mkaa mweusi

Member
Jan 14, 2011
69
26
Wakuu msaada, simu yangu Tecno Camon 12 iliingiliwa na maji ya mvua pindi ikiwa mfukoni. Niliitoa nakuendelea kuitumia (hapa sikujua kama maji yameeingia). Baada ya muda screen ilianzaa kuonyesha mistari inazima na kuwaka, kisha screen ikaanza kuchemka.

Nimeiweka juani na nilienda kukausha kwa fundi, lakini bado blink mistari na kuganda kwenye
blue screen. Kwa yoyote mwenye uelewa wa namna gani naweza iponyenyesha anisaidie.
 
Chukua cm yako mwambie fundi atoe betri kisha ivilingishe kweny me tishu alafu weta ndani mchele mkavu izame yoooote kwa masaaa 72au cku 5kisha itowe na uwwendeleee kuitumia kama kawa alafu lete mrejesho hapa
Wakuu msaada, simu yangu Tecno Camon 12 iliingiliwa na maji ya mvua pindi ikiwa mfukoni. Niliitoa nakuendelea kuitumia (hapa sikujua kama maji yameeingia). Baada ya muda screen ilianzaa kuonyesha mistari inazima na kuwaka, kisha screen ikaanza kuchemka.

Nimeiweka juani na nilienda kukausha kwa fundi, lakini bado blink mistari na kuganda kwenye
blue screen. Kwa yoyote mwenye uelewa wa namna gani naweza iponyenyesha anisaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom