Simu za android na matatizo yake

Simu za android na matatizo yake

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Zikiishaanza kusumbua utakoma.
Je, tiba yake ni ipi?

IMG_20200419_151434_762.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka iyo ni TECNO kama sio INFINIX.

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Hiyo itakuwa ni android virus disease-avid 20, iwahishe karantini
 
Sema matatizo ya Trassion Holdings Company...watumiaji wengine wa android hatuyafahamu hayo mambo mkuu.

Samsung Galaxy[emoji93]
 
Wakuu mi na huawei yangu ni android 4.2.2 ...haishiki 2g enyewe ibashika 3g tu tena ni kwa lain baadhi an ...nimejaribu kuweka 2g only imekataa...sasa sijajua tatuzo ni nini wakuu msaada tafadhalin[emoji1317][emoji1317]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We acha kusema tatizo la android hilo ni tatizo la tekno na kaka ake infinix na mdogo wao itel huwez kuta izo mambo kweny Huawei Samsung xiaomi oppo Nokia na wenzake
 
Back
Top Bottom