Mijadala ya ipi framework nzuri huwa kama ushindani baina ya dini, la kufanya kwanza hakikisha umeipitia na kuelewa PHP kwa undani halafu ndio uanze kutafuta frameworks. Mimi nimepitia Frameworks nyingi tu, lakini kila moja nimekuta ni nzuri kivyake.
Cha msingi ni kuangalia ni ipi
- Fast
- Secure
- Imeconform kwenye design patterns maarufu
- Ina vibrant community
- Updates zake zinafanyika mara nyingi
- Ni rahisi ku-extend, scale n.k.
Pia ni bora ukiwa na nafasi, ukatumia muda wako kujitengenezea Framework kwa ajili ya kujifunza jinsi zinafanya kazi, ile siku utasimamisha yako mwenyewe, hapo utaona jinsi itakua rahisi kuzielewa zile stable kama Codeignitor. Tutorials zipo nyingi za kukufunza jinsi ya kufanikisha hili, anzia hapa
Create Your Own MVC Framework