Jinsi ya kutengeneza YouTube Channel

Mayova

Senior Member
May 10, 2018
182
123
Jamani habari za muda huu ndugu zangu:

-Jamani naombeni maelekezo namna ya kutengeneza youtube channel inayoingiza pesa.

-Halafu je, kuna uwezekano wa kutengeneza you tube channel kwa kutumia simu bila hata ya kutumia computer?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Youtube channel inayoingiza pesa ni ile ambayo iko monetized na google adsense.

Requirements za google adsense kwa ajili ya channel yako ni watching hours ifikie 4000 na subscribers wafike 1000 ndani ya mwaka mmoja hapo ndio unaweza kukubaliwa na adsense.

Kwani hiyo channel unayotaka inahusiana na nini? Ni bora uweke mkazo kwanza kwenye kutengeneza contents nzuri kuliko pesa haya mengine yatakuja tu.
 
Kama una email adress tayari, nenda www.youtube.com kisha sign up,unajaza email na kutengeneza password,unaingia katika email una confirm,mpaka hapo inakuwa iko tayari.Inabaki kuipamba(customize) na ku post contents,kuhusu ku monetize kuna mdau kakupa vigezo kuwa uwe na masaa 4000 ya kuangaliwa na subscribers 1000 kwenda juu, ukianza ujipe moyo wa kupambana haifikiki kirahisi labda uwe na content kali ya kipekee
 
Back
Top Bottom