Msaada kwa laptop yangu imegoma kuwaka

Msaada kwa laptop yangu imegoma kuwaka

Carldozo

Senior Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
138
Reaction score
190
Wakuu laptop yangu Hp EliteBook imegoma kuwaka nikibonyeza power button. Lakini nikitoa betri nakurudisha inawaka kidogo halafu inazima.

Msaada wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom