Natafuta fundi wa Invetor (Pure Sine wave)

Natafuta fundi wa Invetor (Pure Sine wave)

SmartEagle

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
23
Reaction score
3
Natafuta fundi wa Invetor Pure sine wave, Ina Tatizo dogo la Umeme Hautulii na display yake ina blink wakati relay nayo inakuwa ina funga na kufungua hivyo kunakuwa na On and Off in multiple seconds.

Fundi awe Dar es Salaam. Ani PM namba tuzungumze. Hata mwenye kumfahamu akinidondoshea Namba yake nitashukuru pia.
 
Back
Top Bottom