Nikiwa kama muhasibu excel 2007 nimeizoea na wala sijaona ikinikwamisha kwa lolote

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
1587380331288.png


Nikiwa kama muhasibu excel 2007 nimeizoea na wala sijaona ikinikwamisha kwa lolote, Ina size ndogo na haijazi pc na inanifaa, Kuna wenzangu hapa ofisini mbwembwe ibao na excelo hizi za mwaka 2018 ila wananisumbua sana niwafanyie vitu fulani fulani kama formulas, n.k.

Nilichoongezea kwenye excel 2007 ni plugin ya kutools tu mchezo umeisha.

Labda pengine kuna vitu napitwa navyo naombeni tujuzane hapa.
 
Naomba unisaidie formula ya kutambua dupricates in a column mkuu.

Naomba unisaidie formula ya kutambua dupricates in a column.
Hakuna haja ya kuhangaika na forumulas, kuna option tayari na ni rahisi

 
Unaweza kutengeneza formula inayoweza kupredict result za mech za mpira kwa kutumia defence na attack strength?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni muhasibu na mjasiriamali mkuu natumia excel kazini na kwenye biashara zangu, Huko kupata hela kwa kutabiri sio mdau maana hata baercelona huwa anachapwa na vitimu vilivyoshika mkia kwenye ligi.
 
Jaribu excel 2016 au 2013 zipo vizuri sana,kama ni unafanya kazi za big data na analysis hizi version ndio zinafaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
big data ndio uwanja wake huu katika shughuli za kihasibu, document moja sheets kama 30 huko na rows hata elf 3 kwa kila sheet na mambo yanaenda fresh tu kwa excel 2007, au unazungumzia big data zipi na analysis zipi
 
worms,

Yani file lake la setup mb 600 tu na uki install haijazi PC na bado ipo user friendly na rahisi, hizi za juu mzigo unakuta ni gb 9 hilo file la setup tu na kama PC yako inachechemea basi itakuwa slow
 
Back
Top Bottom