Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habar wanajamvi,,,,,naomba msaada kama kuna anayejua process za kuhack game tajwa hapo juu anisaidie
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeokota kibox njiani nilivyofungua nikakuta kitu kama reciever, but bado sijaelewa kinatumikaje. Msaada wenu anaekijua tafadhali
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwenyekiti mtendaji wa makampuni ya Alibaba, Jack Ma, sasa ndio tajiri nambari moja nchini China. Bwana Ma mwenye umri wa miaka 49, amepiga hatua hiyo baada ya kundi la makampuni yake ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Free Fire Ni Battleground Inayofanana kwa kiasi kikubwa na PUBG, Ni game Mahususi kwa Vifaa vya Android na IOS. Game Ina Size ya GB 1.5 Ni game Nzuri Haswaa. Unachotakiwa Hufanya ni Kusignup...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
WALE MNAO TUMIA TTCL NJOONI MNIJUZE SPEED YA INTERNET YA 4G YAO IPOJEE MAANA NISIJE NIKARUDI KUMBE NARUDI ENZI ZA UKOLONII.... NIKO DAR ES SALAAM MARNEO YA MBEZI BEACH....
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Ndugu zangu kwa joto hili urembo wote utatuisha natafuta wapi nitapata Air condition ndogo ya bei nafuu au Aur cooler kwa bei rafiki jamani nisaidieni kwakweli..Loll hili joto la dsm sasa ni...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habarini humu. I hope mtaweza kunisaidia. Kama kuna mtu keshawahi kutumia hii machine au kama kuna Biomedical engineer naomba anipe muongozo. Hii machine inawaka lakini ikiwaka inaonyesha " fluid...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unashindwa ku play movies Toka kwenye external hard disc . Naomba utaalamu na ushauri. Nafahamu kwamba tv niliyonayo ni ya zamani, cable hazisomi external, software upgrade inadunda. Sijui nakwama...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Naomba msaada, Memory card yangu imekataa kusoma kwenye simu inataka niformat nimeweka kwenye pc inasema hivyo hivyo ninachotaka kujua nikitaka kuformat inasema itafuta all data sasa je hizi data...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani mimi nilianza kuitumia mara tu walipoizindua rasmi jana, binafsi nimeipenda Someni zaidi hapa: Inside AdSense: Introducing AdSense Auto ads
3 Reactions
6 Replies
968 Views
Would you know specifications of such a laptop napata for how much? HP celeron 1.6ghz,4gbram,500harddisk, 15.6 screen, webcam, wifi, bluetooth Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kila mwenye huitaji wa course ya Security, Networks ili tuwe tunasaidiana, au unakuwa free course au coupon za course za tech udemy, eduonix basi apost mi naanza, mwenye hiki kitabu anisaidie
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamvi wa jf, namshukuru Mungu aliyetujaalia pumzi. Matumaini yangu mapambano (dhidi ya Covid-19) yanaendelea. Tukiachana na hayo katika kutaka kuingia kwenye mambo ya technology...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Wadau natafuta mtu professional anaetengeneza application: iOS, Android, tukae round table tuongee biashara. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Error inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ambaye ameshafanikiwa ku-upgrade from Android 9 atusaidie sisi wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau nadhani mnaendelea vizuri pamoja na kukumbwa na hili janga la dunia la COVID-19, Kuna swala linaniumiza kichwa la taarifa za miamala ya line yangu ya simu kujulikana kwa mtu mwingine...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Kwa wale wapenzi wa Nokia , baada ya kutoa Nokia 6, 5 na 3, Nokia ametoa flagship yake tayari. Naona ametembea mulemule kwa kama wadau walivyotarajia. Camera ametumia Zeiss optics, Processor...
0 Reactions
76 Replies
12K Views
Wakuu, inawezekana kubadilisha IMEI ya simu? Nina simu ya Samsung Note 2 ila imei ya kichina kwa hiyo inasumbua katika kutumia. Je, naweza nikapata msaada? === MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Nimekuwa mtumiaji wa Samsung A-series tangu za 2015, hizi ni mid-range Samsung smartphone, na wamekuwa wakizibadilisha muonekano mwaka kwa mwaka (binafsi toleo la A-series la 2016 ndio bora...
21 Reactions
118 Replies
21K Views
Back
Top Bottom