Msaada Naomba ufafanuzi kuhusu kutengenezewa "Platform" ya kuuza, kustream Muziki

Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
966
1,069
Habari?

Wakuu ninahitaji kujuzwa wastani wa gharama kutengenezewa website kwa ajili ya kuuza muziki (downloads and stream), kama walivyo boomplay, spotify n.k na ziada ya feature ambayo kutakuwa na mfumo kama wa network marketing ndani yake.
Je ni vifaa gani vinahitajika?na gharama.

Idadi ya subscribers ningependa iwe na uwezo wa 20k kwa kuanzia.

NB: Sina background ya IT, naomba kuelekezwa taratibu...nimevutiwa na biashara hii kwa kuwa muziki na entertainment industry inaenda inakuwa na statistics za watuamiaji wa internet inavutia. Pia naiwazia ile domain ya wasafi.com iliyokufa kama ingewezekana kui acquire ingekuwa vyema sana.
 
Bei hutokana na requirements zako kama mahitaji mengi na bei hupanda.

Kama budget yako ni ndogo waweza post kazi yako upwork au freelancer watakufanyia kwa bei chee sana.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom