Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nina Laptop aina ya THTF, Model THTF-Tseries ni Laptop za Kichina bahati mbaya Battery yake iliingia maji haifanyi kazi. Ni sehemu gani naweza pata Battery hii. Part namba ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
If you want to be a programmer and you don't know which languages to study or to start with, worry out here is the list of the top programming language. #7. C Programming C program is a mother...
3 Reactions
38 Replies
5K Views
Jamani wanaJF naombeni mwenye kujua bei ya mini laptop used kwa Bongo au Mwanza aniambie. Isiwe ile ya internal memory na storage, bali nataka ambayo nawezafanya upgrade ya hard disk na rami...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Natumia simu ya 4G ya vodacom ila ukiweka lain nyingine inagoma kusapoti inahitaji code kwa anayeweza nisaidia hili tatizo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu nina shida na simu, bajeti yangu ni lak 4 hadi 5 mwisho. Hivi kwa bajeti hii nipata simu gani nzur? Vitu ninavyotaka ni camera nzuri na uwezo wa simu(performance) CHIEF MKWAWA
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, nauliza kipi bora kutumia adsense au revenuehits, au vyote vinaweza tumika pamoja Naombeni msaada plz kwa mtu yeyoye mwenye ideas. Naomba fact juu y hizi mbili
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna namna ya kuremove msg zote unazokuw umechart na mtu kweny messenger kwa mara moja, zisionekane kwa upande wa mtu uliyekuw unachart naye. naombenu muongozo. asanteni.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa anejua tu, Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwenye box naona hizi series made by samsung in vietnam, manufacture wa hizi battery za A series sijui ni nani but kipindi cha nyuma kulikuwa na mfumo wa mtu kutumia simu mbili sababu tach hazikai...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naulizia wapi zinapatikana intermediate switch za 2 gan, 3gang na 4gang maana naona kama ni adimu sana kupatika. wanaojua mafundi wenzangu tunaweza kushare hapa.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni baadhi michoro inayoeleza ufanyaji kazi wa friji. Haya wenye utaalam na mambo ya coooling system tupeni shule huku tukitafuta maelezo mengine. Kwa nini kitu kinatwa...
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Screen ya kompyuta yangu aina ya Dell Inspiron 5050 imekuwa kama imepata kreki na sijui nini kilitokea naomba msaada chakufanya. Picha ya kwanza ikiwa imewashwa na pili ikiwa imezimwa
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jaman PC yangu ilikuwa inakwama kwama sada nikazima direct(kupitia batan) sasa nilipo washaa ikaniambia automatic repal ikazunguruka ikaja kioo cheus nikazima tena kuwasha mambo ndio hayo mzigo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wa Jf , TV yangu ni Smart lakini upande wa Wireless haifanyi kazi mpaka SAMSUNG WIRELESS LAN ADAPTER au NETWORK CABLE Ombi langu wapi naweza pata hiyo Samsung Wireless LAN Adapter
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Habari zenu wakuu, Computer yangu aina ya HP EliteBook, ghafla tu nikiwa naitumia ikaanza kuonyesha maandishi mara mbili mbili yaani kama simu vile ikiwa imekifa kioo. Sasa nashangaa hili tatzo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kabla sijareset simu picha zangu zilikuwa zinaonekana kwenye google photo,lakin baada ya kureset sioni picha,msaada plz napataje picha zangu,ni za mhimi sana
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Ninataka kununua simu yenye perfomance nzuri, camera nzuri kwa badget ya 350,000 tu. Brand nataka iwe samsung au iphone. CHIEF MKWAWA
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Hizo n screenshot kutoka kwenye series inayoitwa HANNA season ya pili, episode ya 7 Hiyo simu ilionekana nikaiscreenshot kama hivyo. Sasa naomba kama kunamtu kwa huo muonekano anaweza kuitambua...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…