Screen ya kompyuta kuwa hivi kama kuwa na crack

Suip

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,314
760
Screen ya kompyuta yangu aina ya Dell Inspiron 5050 imekuwa kama imepata kreki na sijui nini kilitokea naomba msaada chakufanya.
Picha ya kwanza ikiwa imewashwa na pili ikiwa imezimwa
IMG_20200904_214725.jpg
 
Hicho kioo kimevunjika. kwa kawaida vioo vya LCD vina matabaka zaidi ya moja na kila tabaka limefunikwa kwa material kama plastic. Sasa hapo kioo kimevunjika kwa ndani na juu kimefunikwa na plastic.

Angalia hapo chini nimeweka picha ya kioo kilichovunjika ingawa hakionekani kwa macho na hicho kingine kinaonesha mstari kabisa.
 
Attachments

  • 15993167385443413710266719336742.jpg
    15993167385443413710266719336742.jpg
    88.9 KB · Views: 2
  • 1599316833961842291981952039066.jpg
    1599316833961842291981952039066.jpg
    107.9 KB · Views: 2
Hicho kioo kimevunjika. kwa kawaida vioo vya LCD vina matabaka zaidi ya moja na kila tabaka limefunikwa kwa material kama plastic. Sasa hapo kioo kimevunjika kwa ndani na juu kimefunikwa na plastic.

Angalia hapo chini nimeweka picha ya kioo kilichovunjika ingawa hakionekani kwa macho na hicho kingine kinaonesha mstari kabisa.
Inatengenezeka?, na itagharimu kiasi gani
 
Pole sana mkuu kama upo DAR ES SALAAM mm nitakubadilishia kwa Tsz 75000/=
nitakufuata ulipo kukubadilishia hapo ulipo
Zaidi nicheck 0620552992
 
Nipo nje ya Dar
 
Back
Top Bottom