Naomba kujua bei ya mini laptop used

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,419
2,000
Jamani wanaJF naombeni mwenye kujua bei ya mini laptop used kwa Bongo au Mwanza aniambie. Isiwe ile ya internal memory na storage, bali nataka ambayo nawezafanya upgrade ya hard disk na rami.

Sent from my cupboard using mug
 

Tarakwa

JF-Expert Member
Apr 19, 2017
694
1,000
Specs zikoje mkuu
Hard Disk space:230 GB
RAM 2
processor 1.6gHz
JPEG_20200908_211840_3956607894605830129.jpg
 

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
644
1,000
Kuna HP mini hapa. Price 230,000

Hard disk 320GB
Processor 1.6ghz
Ram 2GB
Battery 4hrs
Keyboard kuna baadhi ya button hazifanyi kazi, kubadilisha ni 30,000 au kma hutaki kubadilisha kuna external keyboard flexible unapewa bure
IMG-20200727-WA0011.jpg
 

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,419
2,000
Unaposema memory na storage isiwe internal inamaanisha integrated au?
Yaah, kuna zingine wamezi-integrate yaani zimetengenezwa kama simu ilivyotengenezwa ingawa zina windows na port kama za pc na hiyo ni changamoto chip zake zikianza kusumbua kama za Mediatek zinavyosumbua.


Sent from my cupboard using mug
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,834
2,000
Kuna zingine zimetengenezwa kama simu ilivyotengenezwa ingawa zina window na port kama za pc


Sent from my cupboard using mug
Nimekupata, hii inatokea sana kwa modern machine, used nyingi ni ngumu kupata hii. Zaidi lenovo unaweza fungua ndani ukakuta motherboard ni ndogo kuliko simu ya 4" kila kitu kimekuwa built in.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
24,055
2,000
ukitaka mini laptop nzuri kibongo bongo tafuta
-thinkpad 11e hii ni ndogo zaidi version ya i3 ni bora zaidi, upatikanaji wake wa kutafuta ila zipo nishakutana nazo
-thinkpad 2xx series, sio mini laptop kivile ila 12 inch tunaweza sema ni ndogo pia, hii inakuja na variety za cpu kama zote na zinapatikana kwa wingi sana, mfano thinkpad x240, x230, x220, x260 etc

hizo ni real laptop kwenye umbo dogo

mini laptop nyingi zinakuwa na Atom series ya processor ambazo zipo slow sana, unless unaenda angalizia movies tu sishauri mtu kununua.

bei 200k mpaka 400k
 

SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,419
2,000
Ahsanteni wote kwa kujitolea kunisaidia na kunishauri, nitafanyia kazi hasa hizo Thinkpad.


Sent from my cupboard using mug
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom