GOOGLE ADSENSE VS REVENUEHITS

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,709
2,373
Habari zenu wanajamvi, nauliza kipi bora kutumia adsense au revenuehits, au vyote vinaweza tumika pamoja
Naombeni msaada plz kwa mtu yeyoye mwenye ideas.
Naomba fact juu y hizi mbili
 
Habari zenu wanajamvi, nauliza kipi bora kutumia adsense au revenuehits, au vyote vinaweza tumika pamoja
Naombeni msaada plz kwa mtu yeyoye mwenye ideas.
Naomba fact juu y hizi mbili
Kutumia matangazo ya aina tofauti tofauti kwenye website, blog n k inawezekana but hayaleti mwonekano mzuri kumbuka watembeleaji wako wanahitaji ujuzi/maudhui yako sio matangazo yako so chagua moja either all or one na inategemeana na upangiliaji wa matangazo hayo. Vinginevyo utapunguza audience Kama UI na maudhui yanayofanana na ya wengine.
 
Back
Top Bottom