Reserved
Joined
Likes
3

Profile posts Latest activity Postings About

 • Red Scorpion
  Habari.. kabla ya mwaka huu kuanza nilikua na likes mia tisa na kitu... mbona zika shuka kiasi hiki?
  Troll JF
  Kuna Mtu anaitwa Mng'ato anatumia Offensive/abusive language hebu Piga ban mkuu apumzike hata week moja
  N
  Njia pekee ya kuwafanya Wanaforum kuwa waungwana ni kuzuia kabisa mambo yanayosababisha kutukanana. hili la kuweka sehemu fulani mada fulani hakuna maana yoyote isipokuwa labda mode anapenda kuyasoma hayo matusi. Kitu kibaya kitabaki kuwa kitu kibaya na wala si katikati. Kama tunajali uhuru wa kujieleza kuliko amani ya wengi basi kwanini hatuwekei sehemu ya picha za ngono na wanaojihisi kutizama waende huko1 Ukweli ni kuwa Jukwaa la dini limepoteza makusudio na badala ya kuelimishana juu ya dini imekuwa ni jukwaa la kukejeliana. Lirejeshwe katika Public na mode uwe uklilifuatilia au liondolewe kabisa!
  S
  H
  mambo naomba kutembelea jukwaa la mambo ya kikubwa
  Kipala
  Salaam napenda kupeleka mbele yako hali ya uwanja wa dini nikiwa na maombi mawili.

  1) Uwanja wa dini umevamiwa na watu kadhaa wanaozidi kutoa matusi dhidi ya dini nyingine. Inahusu hasa Wakristo na Waislamu, pande zote mbili lugha ya kutukana na kuchafusha inazidi. Kujadiliana nao haisaidii wala report kadhaa kwenu. Hatua hazichukuliwi.
  (Miezi kadhaa mtu 1 hakuonekana tena baada ya kupelekwa lalalamiko nami kuhusu yake lakini haikurudia)

  2) Sioni hekima ya nusu-funga uwanja wa dini. Kama nia ilikuwa kuweka kizuizi dhidi ya matusi ya kidini - basi imeshindikana, watoa matusi wamo mle. Mara nyingi wanatawala majadiliano yote kwa sababu watumiaji wa kawaida hawafiki. Imeonekana sasa kwa sababu mmehamisha mada nyingi kutoka siasa au international kwenda dini. Majadiliano yamebadilika mara moja maana katika dini hao fanatics wako wengi na ubora wa majadiliano yanashuka, wengine hawafuati. Naomba kupeleka dini kwenda "Public Forums".
  minda
  THANK YOU! I can now remember and understand! it was something which was not suitable for public viewing. OVER AND OUT!
  minda
  what was the original version of the deleted msg in the post about mfnykuz?
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…