Naomba msaada wa kutatua tatizo la hii PC

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Jaman PC yangu ilikuwa inakwama kwama sada nikazima direct(kupitia batan) sasa nilipo washaa ikaniambia automatic repal ikazunguruka ikaja kioo cheus nikazima tena kuwasha mambo ndio hayo mzigo hausogei mbele una load tuu mpaka mudaaa huu si chini ya lisaa.

IMG_20200907_115447.jpg
 
Shusha windows hiyo uweke windows nyingine, either imecorrupt labda ulzima kwa kutumia button, au partition ya local disk C imejaa inasababisha ishindwe kuboot up
 
Endelea kuiacha kwa masaa mawili na ikiwa bado ujue window imecollapse hivyo iwekwe window nyingine baada ya hiyo window kupigwa chini
 
Shusha windows hiyo uweke windows nyingine, either imecorrupt labda ulzima kwa kutumia button, au partition ya local disk C imejaa inasababisha ishindwe kuboot up
Kuhusu local disk bado maana ilikuwa ina zaid ya 400GB
 
zipo sababu nyingi pia,labda ilianguka, au huiweki kwny surface iliyonyooka ili itoe heat vizuri, ikiendelea hivo reinstall windows upya haiwezi poteza data zako kama uliweka partition tofauti na Local disk c, if files zako zote uliweka kwenye disc Cyenye windows basi jihesabie maumivu
 
hapo n mamumivu ya notes tu basi hamna hii hakuanguka ilikuwa fresh tu sasa nikawa na tumia WPS kuncort pptt ti pdf sasa ikapiga kaz mara ika wakama ina load load hv mm nikaona ushubwada kila nikitaka kuzima kwanjia ya kawaida mzigo ukawa unaniletea shida nikasema ngoja nitumie button kuswtch off nika uzima sasa kuwasha ukawa ona laod bado nikachomoa bettry nikaweka tena kuwasha nikaambiwa window repal nikatulia ukamalizika mzigo hautak kujiwasha ukawa uba load nikazima tena ndio sasa hv na ishwa bado mzigo una loaf tuuu
 
ndo ivo mkuu ka nvokuambia ukizimia button inaharibu hard drive au kuzingua windows, so hapo eka tu ingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom