Msaada: Kwa bajeti hii napata simu gani?

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Jul 14, 2018
599
206
Habari wakuu nina shida na simu, bajeti yangu ni lak 4 hadi 5 mwisho. Hivi kwa bajeti hii nipata simu gani nzur? Vitu ninavyotaka ni camera nzuri na uwezo wa simu(performance) CHIEF MKWAWA
 
Back
Top Bottom