NAOMBA MAUJANJA YA TV STAR X

uludodi

JF-Expert Member
May 23, 2014
574
913
Nimenunua hii Tv. Nimeona ina king'amuzi ndani sasa naomba maujanja yakutumia hicho king'amuzi . Natumia king'amuzi cha Azam. Je nikiongeza -LND- kwenye dish la Azam nitapata chanel za free au nitumie njia ipi kupata chaneli za free kwenye iyo tv . Nitashukuru kwa mawazo yenu na elimu kutoka kwenu Asante.
 
IMG-20190623-WA0002.jpeg
 
Nunua Antenna ya kawaida ya Startimes...ifunge kisha search channels utapata za free

Good Luck
 
Nunua LNB ya njia mbili, njia moja unga Kenya Receiver ya Azama njia ya pili unga kweye TV sehemu iloyoandikwa LNB kisha blinde scan free channel. Utazikamata ila nyingi ni za Dini.
 
uscan bila kuweka kadi mana naliona tundu pale

Back
Top Bottom