Namna ya kufuta msg kwenye App ya Messenger

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,649
6,832
Kuna namna ya kuremove msg zote unazokuw umechart na mtu kweny messenger kwa mara moja,
zisionekane kwa upande wa mtu uliyekuw unachart naye.
naombenu muongozo.
asanteni.
 
hili jukwaa halina watu wanaoelewa hivyo vitu,
au jf imekuwaje siku hizi!
 
Back
Top Bottom