lewis mtunze
Member
- Aug 31, 2020
- 42
- 26
Wadau naulizia wapi zinapatikana intermediate switch za 2 gan, 3gang na 4gang maana naona kama ni adimu sana kupatika. wanaojua mafundi wenzangu tunaweza kushare hapa.
Mkuu umejaribu kwenye maduka vifaa vya umeme kweli? Sidhani kama hivi vitu vinaweza kuwa adimu tena Dar.Wadau naulizia wapi zinapatikana intermediate switch za 2 gan, 3gang na 4gang maana naona kama ni adimu sana kupatika. wanaojua mafundi wenzangu tunaweza kushare hapa.
Hata mimi maana ni double poleintermediate 2 gang, 3 gang sijawai ona labda ya 1 gang
d.p switch unazo za gang 2Hata mimi maana ni double pole