Mafriji-tufanyeje yadumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafriji-tufanyeje yadumu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Reserved, Feb 11, 2012.

 1. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #1
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii ni baadhi michoro inayoeleza ufanyaji kazi wa friji.

  [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  [​IMG]


  Haya wenye utaalam na mambo ya coooling system tupeni shule huku tukitafuta maelezo mengine.

  Kwa nini kitu kinatwa compressor kinaharibika mara wa mara kwenye mafriji yetu ya" mitumba". Maana sometime unaweza kuhisi fundi msanii

  Nini kifnyike mafriji yasiharibike haribike hizo compressor au yapoze vizuri?
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Friji ni compresa na compresa nyingi tunazotumia ni mitumba zimetoka nchi za baridi (2)umeme wetu haueleki mara volt 240 mara 180 hapo lazima ife (3)matumizi atujui friji inawashwa kama tv au radio aitakiwi kabisa ..kama unatafuta kompresa nunua DANFOS ya german hii pekee ndo yenye huakiki pia inahimiri joto .usisahau kizibiti umeme ni muhimu sana. Kizibiti umeme kisiwe cha kichina. Friji iwekwe kwenye hewa safi .kama nyumba ni ndogo weka ft moja toka ukutani. pia akikisha themostati yake inafanya kazi vizuri. Bahazi ya gesi zinazowekwa kwenye friji zinachangia kuhua compresa .fundi wako awe mjanja kubaini gesi nzuri na ya mchina
   
 3. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #3
  Feb 11, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ok aksante na ni gesi gani hiyo inatumika kwenye friji ?
   
 4. M

  MSUNZU Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu tuelezee ni gesi aina gani ni nzuri.langu limevuja gesi nahitaji kuweka gesi tena.
   
 5. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  pia kutoitingisha tingisha ki zigi zaga inadumu zaidi. tumia zile extension za soketi za kuzuia umeme usiharibu.
  kwa gesi sifahamu mie
   
 6. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  134a ndio ya ukweli
   
 7. M

  MSUNZU Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwahiyo nikitaka kuweka gesi niweke 134a
   
 8. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hii ndiyo hata mimi nashangaa sometime fundi anasema gesi imepungua sana na kuvuja ndio maana halipozi . Sasa sijui nini kinasababisha kuvuja.....
   
 9. Mr Suggestion

  Mr Suggestion JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Yap 134a ndio nzuri kwani haiharibu ozone layer tofauti na R17. Pia inapatikana kwa wingi kwenye soko la hapa bongo
   
 10. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  zamani gesi tuliyokua tunatumia ni R 12 Watu wa mazingira wanasema inaharibu mazingira kwa sasa gsi zinazotumika ni R 134 na R 600 inategema compresa yako .compresa za sasa imeandikwa pembeni aina ya gesi itumikayo .wachina wameingia kwenye hizo gesi hasa hiyo R 134 fundi anakiwa awe makini kuhitambua gesi harisi
   
 11. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  nunua friji mpya achana na hii mitumba inayoletwa kuwa dumped huku
   
 12. Reserved

  Reserved Content Manager Staff Member

  #12
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 750
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hatuwezi kuishi wote "masaki".Hata hivyo inaweza kuwa mpya bado ikapata matatizo zaidi hata used

  Friji jipya la mwaka 2011 liliotengenzwa kwa stability na viwango vya umeme wa japan linaweza kuchemsha Tanzania kuliko Friji used la japan la mwaka 2008.....

  So sidhani kama ni definite foumula kuwa every used ni scrapper. ........
   
 13. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mie mbinu ninayotumia ni kununua friji ya mtumba ambayo haijaguswa compressor....chunguza kwa makini compressor iliyochomelewa bongo inamg'ao wa shaba hiyo itose nunua ambayo utaona sehemu ya maungio hayajachomelewa hapa TZ hakika utadumu nayo hadi basi. Nimebaini gesi wanazojaza hapa bongo zinatatizo hivyo ukinunua ya kujaziwa hapa utajenga urafiki na mafundi kila mara. Hilo la kulinda umeme ni la muhimu tena haswa kwa friji mpya ndio usifanye kosa hilo kabisa la sivyo utabakia unagugumia maumivu ya kuliwa fedha zako.
   
 14. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #14
  Feb 13, 2012
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ni kweli inabidi kuwa makini sana kwenye kununu fridge used. Kama una fundi rafiki yako ni bora kumshirikisha kwenye kununua maana wanazijua za ukweli na ambazo sio za ukweli
   
Loading...