Hapa nini tatizo kwenye hii computer, msaada wenu

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,270
2,000
Habari zenu wakuu,

Computer yangu aina ya HP EliteBook, ghafla tu nikiwa naitumia ikaanza kuonyesha maandishi mara mbili mbili yaani kama simu vile ikiwa imekifa kioo.

Sasa nashangaa hili tatzo linatokana na nini maana kama kioo kimekufa mbona sijaigonga wala kuidondosha. Kuna mtu nimemuuliza ameniambia kioo kimekufa nibadilishe mwingine kaniambia ni window imeisha.

Naombeni msaada itakuwa tatzo nini kabla sijaenda kubamizwa na fundi.

IMG_20200904_163819.jpg
 

handsomezombie

JF-Expert Member
Sep 27, 2018
291
500
sikiliza kiongozi kama unataka kufahamu tatizo hapo hebu unganisha pc yako kwenye monitor nyingine kama iki display bas shida ni display ya pc yako
 

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,270
2,000
sikiliza kiongozi kama unataka kufahamu tatizo hapo hebu unganisha pc yako kwenye monitor nyingine kama iki display bas shida ni display ya pc yako
nmejaribu kufanya hivyo imekataa kuonyesha hii pc inatumia VGA pekee aina sehem ya HDMI so nashindwa kujua labda hii port ya vga ni mbovu pia
 

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,270
2,000
Yea ni kioo au connectors. Kama upo Dar nenda Machinga Complex mafundi wapo wengi wewe utachagua yupi mtawezana bei.

Ila kama una flat tv unganisha tu laptop na tv
nimejaribu kufanya hivyo naona inakataa kusoma kabisa ,, sa sijajua tatzo linaweza kuwa na Vga inasumbua au vip
 

baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
2,270
2,000
Laptop yako umewahi kuiunganisha na tv kabla? Ilikubali? Kama ni first time hebu update drivers za vga kwanza kisha unganisha tena
sijawahi hapo kabla ahsante mkuu,, ngoja nitafute mtaalamu kwanza
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom